Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe unaamini Yesu ni Mungu? Kama ndivyo huna tofauti na hao waislamu extremists.Rudi kwenye mada. Kabla ya Muhammad kuibukq na dini yake miaka Mia 6 baada ya kristo, kristo alikuwa tayari kashawataarifu kuwa kuna dini itaibuka itawaua huku wakidhani wanamtolea Mungu sadaka na kauli yao kuu ni " Yesu si Mungu".
Huuoni ukomo wangu katika ili?.Na wewe unaamini Yesu ni Mungu? Kama ndivyo huna tofauti na hao waislamu extremists.
Vipi makundi ya kiislam ya, Bokho haramu, Al shabab, Is, Al khaida, nayo ni uzushi tu wa mabeberu wa magharibi?Propaganda za magharibi hizi kila siku zinatafuta namna ya kuifanya dini ya kiislamu ni vurugu