Makao Makuu ya Bunge la Jumuiya ya Madola Afrika Kujengwa Dodoma

Makao Makuu ya Bunge la Jumuiya ya Madola Afrika Kujengwa Dodoma

Naomba serikali ya mama Samia iseme ijengwe arusha kama kweli tunataka arushq mji wa mkakati kwanza arusha ina advantages nyingi sana.
Arusha tayari kuna mashirika mengi ya kimataifa,mhakama africa,eac hq,posta africa,UN court etc
Arusha kuna hotels nyingi na kumbi za mkutao za kimataifa
Arusha hub ya utalii hivyo hilo bunge la madolla ingesaidia kuongeza utalii kama sera ya Dkt Samia
Muda mwingine viongoz wetu tusifanye siasa
Waacheni wailtete Dodoma. Arusha kwa tanzania imeshakuwa kama mwaka vile maana kila kitu cha kimataifa wanataka iende arusha.
 
Waacheni wailtete Dodoma. Arusha kwa tanzania imeshakuwa kama mwaka vile maana kila kitu cha kimataifa wanataka iende arusha.
Ndio Jiji la Kimkakati la Serikali Kwa taasisi za Kimataifa
 
wA
Arusha ata hali ya hewa ina utulivu pia tayat ina historia ya kuwa kitovu cha mikutano ya kimataifa toka zamani
ILETE DODOMA. Utulivu wa hali ya hewa ni matokeo ya kazi za binadamu tu. iringa na baridi yote imeingia Jangwani kwa ajili ya uchomaji hovyo wa moto. Morogoro inaingia jangwani muda si mrefu kutokana tabia za WALUGURU kuchoma milima ya uluguru kila mara.

Dodoma Serikali ina uwezo wa kuigeuza kuwa kama miji ya Riyad, Jerusalem, Dubai na Tehran. hata
 
Ndio Jiji la Kimkakati la Serikali Kwa taasisi za Kimataifa
Mkakati nani kauweka. EAC imewekwa pale kwa sababu ilikuwa katikati ya nchi tatu za Kenya, Tanzania na Uganda.
Mji wa Kimkakati wa Serikali kwa sasa ni Dodoma. arusha tayari ilishaendelea. haihitaji tena kusukuwa kwa kuongeza taasisi za Kimataifa. Hizo taasisi zije na huku jangwani.
 
Unauliza nani kuweka? Unadhani Kwa nini Afcon imepelekwa Arusha? Kwa nini Makaa Makuu ya taasisi kibao za Kimataifa yapo Arusha?

Wewe ni mjinga Kwa hiyo Arusha ni katikati kushinda Mwanza?
 
Unauliza nani kuweka? Unadhani Kwa nini Afcon imepelekwa Arusha? Kwa nini Makaa Makuu ya taasisi kibao za Kimataifa yapo Arusha?

Wewe ni mjinga Kwa hiyo Arusha ni katikati kushinda Mwanza?
Ni sisi ndo tuliopendekeza AFCON kuchezwa Arusha, Dar na Zanzibar maana mikoa mingine hakuna uwanja wenye hadhi ya kucheza mechi za AFCON na wakati huo Serikali ilishakuwa na mpango wa kujenga viwanja vipya viwili, moja Arusha na Mwingine Dodoma; but wa Dodoma kwa disign yake ni uwanja mdogo wa kuchukua watu elfu 35 tu. Hivyo, hapakuwa na option kwenye eneo hilo. Lakini pia Dodoma haina facilities za kutosha kwa ajili ya malazi tofauti na Arusha. But in the near future na Dodoma itaanza kuhold mikutano mikubwa ya Kimataifa kwa jinsi uwekezaji katika sekta ya Nyumba (Hotels) unavyoendelea.
 
Unauliza nani kuweka? Unadhani Kwa nini Afcon imepelekwa Arusha? Kwa nini Makaa Makuu ya taasisi kibao za Kimataifa yapo Arusha?

Wewe ni mjinga Kwa hiyo Arusha ni katikati kushinda Mwanza?
Ujinga wangu wewe umeutolea wapi? Mbona una jazba? Umevurugwa na nini?
haya sasa hizo ofisi za Bunge la Jumuiya ya Madola zinajengwa Dodoma. Mwambie na Mfalme wa Uingereza na Jumuiya yake ni wajinga.

Kimsingi mimi ndo mtu wa Arusha. Nahisi wewe ni wa kuja Arusha ndo maana unaweweseka na Arusha.
 
Unauliza nani kuweka? Unadhani Kwa nini Afcon imepelekwa Arusha? Kwa nini Makaa Makuu ya taasisi kibao za Kimataifa yapo Arusha?

Wewe ni mjinga Kwa hiyo Arusha ni katikati kushinda Mwanza?
wakati hayo makao makuu yanawekwa Mwanza hapakuwa na huduma muhimu. Lakini pia hiyo hoja iliyotumika wakati ule ingawa kwa dunia ya sasa suala la makao makuu ya sehemu kuwa katikati halina msingi wowote.
 
Wavuta bangi wa arusha wame umia sana kuikosa hii vitonga vina amia dodoma
Waje na Dodoma, wengine tumetangulia huku. Fursa bado nyingi Dodoma kwa vijana wanaotaka fursa hasa katika sekta ya nyumba kwa gharama ndogo.
 
Tu
Naomba serikali ya mama Samia iseme ijengwe arusha kama kweli tunataka arushq mji wa mkakati kwanza arusha ina advantages nyingi sana.
Arusha tayari kuna mashirika mengi ya kimataifa,mhakama africa,eac hq,posta africa,UN court etc
Arusha kuna hotels nyingi na kumbi za mkutao za kimataifa
Arusha hub ya utalii hivyo hilo bunge la madolla ingesaidia kuongeza utalii kama sera ya Dkt Samia
Muda mwingine viongoz wetu tusifanye siasa
Tunausema ni Dodoma,Arusha kuna wadudu!
 
wakati hayo makao makuu yanawekwa Mwanza hapakuwa na huduma muhimu. Lakini pia hiyo hoja iliyotumika wakati ule ingawa kwa dunia ya sasa suala la makao makuu ya sehemu kuwa katikati halina msingi wowote.
Unajipinga mwenyewe 😆😆😆

Huduma muhimu za Kiswahili uwepo wa Bunge zipo Dom au Arusha?
 
Wabongo bhana.

HQs zote za taasisi Kimataifa ziwe Arusha?
Ndio Kwa sababu Miji inakuwa na hadhi tofauti tofauti.Dom ni Mji Mkuu wa Serikali na Arusha Mji Mkuu wa taasisi za Kimataifa
 
Makao Makuu ya Bunge la Jumuiya ya Madola,Common Wealth Kanda ya Afrika kujeng a Dodoma.👇👇

Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Bi. Salome Makamba, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Jumuiya ya Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) Kanda ya Afrika, ametangaza kuwa makao makuu ya CPA Kanda ya Afrika yataanza kujengwa Dodoma, na maandalizi ya ujenzi yanaendelea.

Akizungumza wakati wa mahojiano na vyombo vya habari baada ya kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 53 wa CPA Kanda ya Afrika jijini Arusha, Bi. Makamba alisema moja ya maamuzi muhimu yalikuwa ujenzi wa makao makuu , ambapo mchakato wa kumpata mkandarasi unaendelea na ujenzi utagharimu zaidi ya dola milioni 30 za Marekani.

Aidha, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CPA Kanda ya Afrika, Dk. Alice Kaijage, alieleza kuwa mada muhimu zilizojadiliwa katika mkutano huo wa CPA ni pamoja na mabadiliko ya tabianchi na ajira kwa vijana.

My Take: Ni habari njema Kwa Tanzania na Dodoma ila Mimi binafsi Nina maoni tofauti. Arusha ndio Jiji ambalo Limeteuliwa Kimkakati kuwa Makao Makuu ya Taasisi za Kimataifa Kwa Tanzania so nashauri Bunge la Jumuiya ya Madola lingejengwa huko.

Dodoma iendelee kuwa Makao Makuu ya Nchi na iendelee na ujenzi wa miundombinu ya Mji Mkuu.

============

ARUSHA: THE Commonwealth Parliamentary Association (CPA) Africa Region Headquarters is set to be constructed in Dodoma as preparations for its commencement are underway.

This was revealed by Special Seats Member of Parliament (CHADEMA), Ms Salome Makamba, who also serves as a member of the Executive Committee of the Commonwealth Parliamentary Association (CPA) Africa Region.
She made the announcement during an interview with the media following the conclusion of the 53rd CPA Africa Region Annual General Conference in Arusha over the weekend.

Ms Makamba said one of the most significant outcomes of Saturday’s session was the decision to construct the Commonwealth Africa Region headquarters in Dodoma.

“The Commonwealth Africa Region headquarters will be built in Dodoma and the process of selecting a contractor is currently underway. The construction is estimated to cost more than 30 million US dollars.”

She further expressed that this is great news for Tanzania, a country renowned for its hospitality.

“Hosting such meetings can be costly, but today we are seeing the fruits of our investment in hospitality. I commend President Samia Suluhu Hassan for continuing to support the CPA Africa Region with hospitality funds. I know significant expenses are involved, but now we are seeing the positive results of this investment,” she added.

Special Seats Member of Parliament (CCM) and member of the CPA Africa Region Executive Committee, Dr Alice Kaijage, also shared insights from the meeting. She mentioned that key topics of discussion included climate change and youth employment.

Dr Kaijage praised Tanzania’s efforts in addressing climate change, stating that the initiatives led by President Samia Suluhu Hassan’s government serve as an excellent example for other CPA Africa Region member states.
“Our sixth phase government, under President Dr Samia Suluhu Hassan, has demonstrated effective leadership in dealing with climate change. This includes educating communities on how to mitigate and adapt to its impacts,” said Dr Kaijage.

She added that the meeting commended Tanzania’s proactive approach to climate change, highlighting the importance of early education for communities in addressing this global issue.

During the conference’s conclusion, over 20 resolutions were presented by the Chairperson of the Resolutions Committee, Ms Nontembeko Boyce, who is also the Speaker of the KwaZulu Natal Lower House in South Africa. These resolutions were approved by all delegates.

The resolutions included urging African governments to implement policy reforms that integrate climate change strategies into all levels of governance, encouraging community involvement through public awareness campaigns and promoting cross-border initiatives to tackle shared climate challenges such as desertification, droughts and floods.

Daily News
hotel zijengwe dom sasa
 
Back
Top Bottom