Makao Makuu ya Bunge la Jumuiya ya Madola Afrika Kujengwa Dodoma

Waacheni wailtete Dodoma. Arusha kwa tanzania imeshakuwa kama mwaka vile maana kila kitu cha kimataifa wanataka iende arusha.
 
Waacheni wailtete Dodoma. Arusha kwa tanzania imeshakuwa kama mwaka vile maana kila kitu cha kimataifa wanataka iende arusha.
Ndio Jiji la Kimkakati la Serikali Kwa taasisi za Kimataifa
 
wA
Arusha ata hali ya hewa ina utulivu pia tayat ina historia ya kuwa kitovu cha mikutano ya kimataifa toka zamani
ILETE DODOMA. Utulivu wa hali ya hewa ni matokeo ya kazi za binadamu tu. iringa na baridi yote imeingia Jangwani kwa ajili ya uchomaji hovyo wa moto. Morogoro inaingia jangwani muda si mrefu kutokana tabia za WALUGURU kuchoma milima ya uluguru kila mara.

Dodoma Serikali ina uwezo wa kuigeuza kuwa kama miji ya Riyad, Jerusalem, Dubai na Tehran. hata
 
Ndio Jiji la Kimkakati la Serikali Kwa taasisi za Kimataifa
Mkakati nani kauweka. EAC imewekwa pale kwa sababu ilikuwa katikati ya nchi tatu za Kenya, Tanzania na Uganda.
Mji wa Kimkakati wa Serikali kwa sasa ni Dodoma. arusha tayari ilishaendelea. haihitaji tena kusukuwa kwa kuongeza taasisi za Kimataifa. Hizo taasisi zije na huku jangwani.
 
Unauliza nani kuweka? Unadhani Kwa nini Afcon imepelekwa Arusha? Kwa nini Makaa Makuu ya taasisi kibao za Kimataifa yapo Arusha?

Wewe ni mjinga Kwa hiyo Arusha ni katikati kushinda Mwanza?
 
Unauliza nani kuweka? Unadhani Kwa nini Afcon imepelekwa Arusha? Kwa nini Makaa Makuu ya taasisi kibao za Kimataifa yapo Arusha?

Wewe ni mjinga Kwa hiyo Arusha ni katikati kushinda Mwanza?
Ni sisi ndo tuliopendekeza AFCON kuchezwa Arusha, Dar na Zanzibar maana mikoa mingine hakuna uwanja wenye hadhi ya kucheza mechi za AFCON na wakati huo Serikali ilishakuwa na mpango wa kujenga viwanja vipya viwili, moja Arusha na Mwingine Dodoma; but wa Dodoma kwa disign yake ni uwanja mdogo wa kuchukua watu elfu 35 tu. Hivyo, hapakuwa na option kwenye eneo hilo. Lakini pia Dodoma haina facilities za kutosha kwa ajili ya malazi tofauti na Arusha. But in the near future na Dodoma itaanza kuhold mikutano mikubwa ya Kimataifa kwa jinsi uwekezaji katika sekta ya Nyumba (Hotels) unavyoendelea.
 
Unauliza nani kuweka? Unadhani Kwa nini Afcon imepelekwa Arusha? Kwa nini Makaa Makuu ya taasisi kibao za Kimataifa yapo Arusha?

Wewe ni mjinga Kwa hiyo Arusha ni katikati kushinda Mwanza?
Ujinga wangu wewe umeutolea wapi? Mbona una jazba? Umevurugwa na nini?
haya sasa hizo ofisi za Bunge la Jumuiya ya Madola zinajengwa Dodoma. Mwambie na Mfalme wa Uingereza na Jumuiya yake ni wajinga.

Kimsingi mimi ndo mtu wa Arusha. Nahisi wewe ni wa kuja Arusha ndo maana unaweweseka na Arusha.
 
Unauliza nani kuweka? Unadhani Kwa nini Afcon imepelekwa Arusha? Kwa nini Makaa Makuu ya taasisi kibao za Kimataifa yapo Arusha?

Wewe ni mjinga Kwa hiyo Arusha ni katikati kushinda Mwanza?
wakati hayo makao makuu yanawekwa Mwanza hapakuwa na huduma muhimu. Lakini pia hiyo hoja iliyotumika wakati ule ingawa kwa dunia ya sasa suala la makao makuu ya sehemu kuwa katikati halina msingi wowote.
 
Wavuta bangi wa arusha wame umia sana kuikosa hii vitonga vina amia dodoma
Waje na Dodoma, wengine tumetangulia huku. Fursa bado nyingi Dodoma kwa vijana wanaotaka fursa hasa katika sekta ya nyumba kwa gharama ndogo.
 
Tu
Tunausema ni Dodoma,Arusha kuna wadudu!
 
wakati hayo makao makuu yanawekwa Mwanza hapakuwa na huduma muhimu. Lakini pia hiyo hoja iliyotumika wakati ule ingawa kwa dunia ya sasa suala la makao makuu ya sehemu kuwa katikati halina msingi wowote.
Unajipinga mwenyewe 😆😆😆

Huduma muhimu za Kiswahili uwepo wa Bunge zipo Dom au Arusha?
 
Wabongo bhana.

HQs zote za taasisi Kimataifa ziwe Arusha?
Ndio Kwa sababu Miji inakuwa na hadhi tofauti tofauti.Dom ni Mji Mkuu wa Serikali na Arusha Mji Mkuu wa taasisi za Kimataifa
 
hotel zijengwe dom sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…