Makao Makuu ya Bunge la Jumuiya ya Madola Afrika Kujengwa Dodoma


Maamuzi haya mazito wanafanya kwa kificho kumfurahisha mkubwa, lakini tukiangalia kwa upana masuala mtambuka zaidi ya ofisi, kuna Royal tour inayotakiwa kuunganishwa kimkakati na hili la kupeleka Arusha ofisi za Commonwealth ingesapoti sana mkakati wa mambo mengi.
 
Kwani hujui nchi kama kusini Kuna vivutio vingi vya utalii?? Royal Tour siyo Kwa ajili ya Kaskazini. Kusini Kuna hifadhi vivutio vingi sana kuanzia Ruaha, Selous/Nyerere National Park, Mikumi, Udzungwa, Kituo, Katavi National Park n.k na Serikali unaendelea na ujenzi mkubwa wa kituo Cha Utalii Iringa.

Acheni taasisi hizi kubwa za Kimataifa zitawanyike badala ya kuwa Sehemu Moja ya nchi. Na Dodoma panahitaji hizo fursa za Wageni.

Dodoma kunajengwa Msalato Internation Airport na OFISI mbalimbali za Balozi.
 
taasisi hizi kubwa za Kimataifa

Taasisi za kimataifa ni tofauti na za kitaifa, za kitaifa kweli inabidi zisambazwe kikanda badala ya utasikia makao makuu ya bandari yanahamishiwa Dodoma kufuata wanasiasa wakuu wa serikali.

Nairobi taasisi zote za kimataifa zinabanana pale kwa makusudi makubwa ya kimkakati ya serikali ya Kenya kitaifa, ili wafanyakazi hao wa kinataifa,wawe na mazingira rafiki ya kikazi na nje ya kazi.

 
Wewe hao watu wa Kimataifa ndo wamekuambia mazingira rafiki yapo Arusha??? Mbona wazungu wapo hadi Zimbabwe na Namibia ambapo ni jangwani kuliko Dodoma? Zile Ofisi za Mabalozi zilizojazana kule Dar kwenye joto wamefuata mazingira mazuri yapi ambayo Dodoma hamna??

Lakini pia walioamua kujenga Ofisi za Jumuiya ya Madola kuwa Dodoma ni Tanzania au wenye Taasisi yao??
 
kujenga Ofisi za Jumuiya ya Madola kuwa Dodoma ni Tanzania au wenye Taasisi yao??

Ni uamuzi usio wa busara, tunaamini Commonwealth wanasoma maoni huru kupitia jukwaa hili tajwa Tanzania na ulimwenguni la Jamiiforums.

Na baada ya tafakuri pana na ya kina kwa kujumuisha maoni ya gumzo hili kubwa miongoni mwa jamii , watatoa uamuzi sahihi na kutekeleza.
 
Hii imeenda. Hadi zabuni ya kuanza ujenzi imeshatangazwa.
 
Hii imeenda. Hadi zabuni ya kuanza ujenzi imeshatangazwa.

From its establishment in 1980s the Association’s headquarters was in Harare, Zimbabwe until when Zimbabwe lost its membership to CHOGM in the year 2003 and automatically losing its membership to the CPA in its entirety. Accordingly, the Region decided to move the Secretariat to the Parliament of Tanzania.


View: https://m.youtube.com/watch?v=YthstIjnXW0
During the 35th Regional Conference held in August 2004 in Swaziland, the Annual General Meeting decided to accept the offer from the National Assembly of Tanzania to be the host of the Regional Secretariat.

Furthermore, the meeting appointed the then Clerk of the National Assembly of Tanzania, Judge Kipenka Msemembo Mussa as Regional Secretary and The National Assembly of Tanzania, as its headquarters. He became the 2nd Regional Secretary followed by Mr. Damian L. Foka, Dr. Thomas D. Kashililah and to-date, Mr. Stephen Kagaigai is its 5th Regional Secretary

More info 2024
The CPA Africa Regional Secretariat is based in the Parliament of Tanzania.

The current CPA Africa Regional Secretary is:

Mr Baraka Ildephonce Leonard

Clerk of the National Assembly of Tanzania

P.O. Box 9133, Dar es Salaam,Tanzania
 
Toka maktaba:

14 November 2022
ZIMBABWE YALILIA KUREJEA JUMUIYA YA MADOLA BAADA YA KUTIMULIWA


View: https://m.youtube.com/watch?v=XCSLukBbofY
14 November 2022
A commonwealth assessment team is in Zimbabwe for a week-long working visit looking at the country's readiness to rejoin the Commonwealth. The delegation is led by the Commonwealth Assistant Secretary-General, Professor Luis Franceschi. He's expected to engage with several stakeholders in the country's political, economic and social spheres. They will then report back to the Commonwealth.
 
Hapo hapo Dodoma panatosha..... waendelee kuukuza mji...
 
Wanajosea kutojenga Arusha!
 
Mimi sasa nimejua hii ichi kuendelea ni kazi sana hatujui nini tuna panga kwenye kilq mkoa.laiti tungezingatia economic strategies ya kila eneo tungepiga hatua sana lakin awa wanasiasi wanatuangusha sana.ndio hao hao walishauri airport ijengwe chatto.
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…