Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
lengo ni kua na walau ngome maalumu ambayo itakua inatuhakikishia viti viwili au vitatu vya ubunge katika kila uchaguzi uwe wa aina yoyote ile.
hivi sasa unaweza kusema ngome ya Chadema kisiasa ni wapi, yakutuhakikishia hata jimbo moja tu kwamba tutashinda? wapi nitajie..
alidokeza mnyetisha wa tetesi hii kwa kujiamini sana..
mwenyekiti Taifa,
anawafuasi wengi wa uhakika na wakuaminika kaskazini, hasa katika mkoa wa Arusha, lakini pia Kilimanjaro na Manyara anakubalika sana na chama kinaweza kujihakikishia kitu kule..
na huko ndiko chadema inawafuasi wengi, wanachama wengi, mashabiki wengi na wapiga kura wengi zaidi ya mahali pengine popote nchini...
tayari pendekezo hili limeshawasiishwa na mjumbe moja mwandamizi wa chama, kanda, tunasubiri vikao vya kamati kuu vikae, pendekezo lipokelewe, lijadiliwe na baadae mkutano mkuu kutoa kauli ya mwisho na kuamua itakavyokua..
ofisi za kanda,
ndiyo zipo, lakini kwakweli hazijakisaidia sana chama vya kutosha.
Dar es salaam, Zanzibar na Dodoma zitabaki kua ofisi ndogo ndogo za makao makuu, lakini pia ndizo zitakazokua ofisini kuu za kanda husika..
alihitimisha mnyetisha wa tetesi hii...
kisiasa,
Je, pendekezo hili likiafikiwa na mkutano mkuu, linaweza kuwasaidia chadema katika kujijengea ngome imara na ya uhakika sehemu fulani nchini, huko tunapoelekea na ikawa na sura kama ilivyo ACT Pemba?
au halina tija, ni kupoteza wakati na pesa tu,
bora waconcentrate na issue nyingine za kukijenga chama chao?🐒