Makao makuu ya chedema taifa kuhamishiwa Arusha

lengo ni kua na walau ngome maalumu ambayo itakua inatuhakikishia viti viwili au vitatu vya ubunge katika kila uchaguzi uwe wa aina yoyote ile.

hivi sasa unaweza kusema ngome ya Chadema kisiasa ni wapi, yakutuhakikishia hata jimbo moja tu kwamba tutashinda? wapi nitajie..
alidokeza mnyetisha wa tetesi hii kwa kujiamini sana..

mwenyekiti Taifa,
anawafuasi wengi wa uhakika na wakuaminika kaskazini, hasa katika mkoa wa Arusha, lakini pia Kilimanjaro na Manyara anakubalika sana na chama kinaweza kujihakikishia kitu kule..
na huko ndiko chadema inawafuasi wengi, wanachama wengi, mashabiki wengi na wapiga kura wengi zaidi ya mahali pengine popote nchini...

tayari pendekezo hili limeshawasiishwa na mjumbe moja mwandamizi wa chama, kanda, tunasubiri vikao vya kamati kuu vikae, pendekezo lipokelewe, lijadiliwe na baadae mkutano mkuu kutoa kauli ya mwisho na kiamua itakavyokua..

ofisi za kanda,
ndiyo zipo, lakini hazijakisaidia chama vya kutosha.

Dar es salaam, Zanzibar na Dodoma zitabaki kua ofisi ndogo ndogo za makao makuu, lakini pia ndizo zitakazokua ofisini kuu za kanda husika..
alihitimisha mnyetisha wa tetesi hii...

kisiasa,
Je, pendekezo hili likiafikiwa na mkutano mkuu, linaweza kuwasaidia chadema katika kujijengea ngome imara na ya uhakika sehemu fulani nchini, huko tunapoelekea na ikawa na sura kama ilivyo ACT Pemba?

au halina tija, ni kupoteza wakati na pesa tu,
bora waconcentrate na issue nyingine za kukijenga chama chao?🐒
Aisee pia hii pendekezo n pw kama itafanikiwa
 
bora waconcentrate na issue nyingine za kukijenga chama chao?[emoji205]

Huyo mnyetishaji wako ametoroka hospitali ya Mirembe? Au ni yule aliyewaambia kuwa Lisu muda wowote alikuwa anategemewa kutangaza kuondoka CHADEMA?

Jf siyo mahali pa kuleta habari za wendawazimu na vichaa. Na wewe kwa nini kila mara unatafuta taarifa kutoka kwa wagonjwa wa akili badala ya kuwafuata watu wente akili timamu? Una ubia nao?
 
Chadema Singida Ina wanachama wengi kuliko Kilimanjaro Kwa mwenyekiti au Arusha?

Lisu Singida hajajenga Chadema iwe na wanachama wengi singida anataka kudandia dandia tu kutegemea wenzie wametengeneza wanachama wengi Kilimanjaro Kwa Mbowe,Arusha.kwa Godbless Lema na Mbeya Kwa Sugu au mara Kwa Heche

Singida zaidi ya kuuza mafuta ya alizeti hakuna wanachama wengi wa Chadema
gentleman,
mbona unasema ukweli mtupu mchana kweupe aise 🤣
 
Huyo mnyetishaji wako ametoroka hospitali ya Mirembe? Au ni yule aliyewaambia kuwa Lisu muda wowote alikuwa anategemewa kutangaza kuondoka CHADEMA?

Jf siyo mahali pa kuleta habari za wendawazimu na vichaa. Na wewe kwa nini kila mara unatafuta taarifa kutoka kwa wagonhwa wa akili badala ya kuwafuata watu wente akili timamu? Una ubia nao?
unajua najiuliza sana ubaya wa pendekezo la muungwana kutaka makao makuu ya Chadema kua Arusha,
mbona ni jambo la kawaaida tu ndrugu zango?🐒

inawezekana tatizo ni mimi mpostiji wa nilichonyetishwa ndio damu ya kunguni, right?🐒

kwamba sifai au sina haki ya kufanya hivyo..

nikiri tu,
mimi ni mtu mdogo sana, mnyonge nisiestahili kua kitu mbele za watu,
ninachostahili mimi ni dharau, kejeli, kufokewa na pengine matusi...
nitafanyaje sasa zaidi ya kuyapokea tu 🐒

hata hivyo,
kibaya ni kipi kwenye hiyo tetesi, na mbona hata bado hakija ridhiwa lakini wananyooshea kidole na kunishambulia?

makao makuu kuhamia Arusha ni nzur au sio sio nzur, na kwanini, huko ndiko ungejikita zaidi 🐒
 
Ukweli ni upi? yaani msomali aache kuiba akuhurumie wewe Mtanzania?
kwamba msukuma anakupenda sana Ben,

aache kujaziwa sukari ya makampuni ya sukari mdomoni na kwenye mifuko yake yote mpaka kule bank, akose maisha matamu kwaajili yako kweli?🐒
 
lengo ni kua na walau ngome maalumu ambayo itakua inatuhakikishia viti viwili au vitatu vya ubunge katika kila uchaguzi uwe wa aina yoyote ile.

hivi sasa unaweza kusema ngome ya Chadema kisiasa ni wapi, yakutuhakikishia hata jimbo moja tu kwamba tutashinda? wapi nitajie..
alidokeza mnyetisha wa tetesi hii kwa kujiamini sana..

mwenyekiti Taifa,
anawafuasi wengi wa uhakika na wakuaminika kaskazini, hasa katika mkoa wa Arusha, lakini pia Kilimanjaro na Manyara anakubalika sana na chama kinaweza kujihakikishia kitu kule..
na huko ndiko chadema inawafuasi wengi, wanachama wengi, mashabiki wengi na wapiga kura wengi zaidi ya mahali pengine popote nchini...

tayari pendekezo hili limeshawasiishwa na mjumbe moja mwandamizi wa chama, kanda, tunasubiri vikao vya kamati kuu vikae, pendekezo lipokelewe, lijadiliwe na baadae mkutano mkuu kutoa kauli ya mwisho na kiamua itakavyokua..

ofisi za kanda,
ndiyo zipo, lakini hazijakisaidia chama vya kutosha.

Dar es salaam, Zanzibar na Dodoma zitabaki kua ofisi ndogo ndogo za makao makuu, lakini pia ndizo zitakazokua ofisini kuu za kanda husika..
alihitimisha mnyetisha wa tetesi hii...

kisiasa,
Je, pendekezo hili likiafikiwa na mkutano mkuu, linaweza kuwasaidia chadema katika kujijengea ngome imara na ya uhakika sehemu fulani nchini, huko tunapoelekea na ikawa na sura kama ilivyo ACT Pemba?

au halina tija, ni kupoteza wakati na pesa tu,
bora waconcentrate na issue nyingine za kukijenga chama chao?🐒
🌈
 
Chadema Singida Ina wanachama wengi kuliko Kilimanjaro Kwa mwenyekiti au Arusha?

Lisu Singida hajajenga Chadema iwe na wanachama wengi singida anataka kudandia dandia tu kutegemea wenzie wametengeneza wanachama wengi Kilimanjaro Kwa Mbowe,Arusha.kwa Godbless Lema na Mbeya Kwa Sugu au mara Kwa Heche

Singida zaidi ya kuuza mafuta ya alizeti hakuna wanachama wengi wa Chadema
Huko lengo wakisusa anaenda kwao kulala kama alivyosusiwa chama ndani ya week mbili kabla mzee wa gia angani hajaja na drama za chopa!
 
lengo ni kua na walau ngome maalumu ambayo itakua inatuhakikishia viti viwili au vitatu vya ubunge katika kila uchaguzi uwe wa aina yoyote ile.

hivi sasa unaweza kusema ngome ya Chadema kisiasa ni wapi, yakutuhakikishia hata jimbo moja tu kwamba tutashinda? wapi nitajie..
alidokeza mnyetisha wa tetesi hii kwa kujiamini sana..

mwenyekiti Taifa,
anawafuasi wengi wa uhakika na wakuaminika kaskazini, hasa katika mkoa wa Arusha, lakini pia Kilimanjaro na Manyara anakubalika sana na chama kinaweza kujihakikishia kitu kule..
na huko ndiko chadema inawafuasi wengi, wanachama wengi, mashabiki wengi na wapiga kura wengi zaidi ya mahali pengine popote nchini...

tayari pendekezo hili limeshawasiishwa na mjumbe moja mwandamizi wa chama, kanda, tunasubiri vikao vya kamati kuu vikae, pendekezo lipokelewe, lijadiliwe na baadae mkutano mkuu kutoa kauli ya mwisho na kuamua itakavyokua..

ofisi za kanda,
ndiyo zipo, lakini kwakweli hazijakisaidia sana chama vya kutosha.

Dar es salaam, Zanzibar na Dodoma zitabaki kua ofisi ndogo ndogo za makao makuu, lakini pia ndizo zitakazokua ofisini kuu za kanda husika..
alihitimisha mnyetisha wa tetesi hii...

kisiasa,
Je, pendekezo hili likiafikiwa na mkutano mkuu, linaweza kuwasaidia chadema katika kujijengea ngome imara na ya uhakika sehemu fulani nchini, huko tunapoelekea na ikawa na sura kama ilivyo ACT Pemba?

au halina tija, ni kupoteza wakati na pesa tu,
bora waconcentrate na issue nyingine za kukijenga chama chao?🐒
Acha majungu na ukabila wewe. Unataka upime upepo wa comments humu. Wewe ni chawa usiye na faida hata kwa mwajiri wako.
 
Ziliwe tu vitumbua, kwisha habari.
 
Acha majungu na ukabila wewe. Unataka upime upepo wa comments humu. Wewe ni chawa usiye na faida hata kwa mwajiri wako.
gentleman,
mbona mie sina ajira sasa itakuaje aise 🐒

majungu yako upande gani mkuu?na halafu comments zitasaidia nini sasa aise ...

mwisho,
wew unaonaje ni vizuri au sio vizuri kuhamia chuga 🐒
 
Sikujua kuwa hata siasa inaweza kumpa mtu raha za bliss kiasi hiki. Mkuu naona comment zote za wadau, njema na mbovu, zote heri. Zinakupa raha tu. Kazi ya “kuicheka” CHADEMA ni burdani tupu! Ni uzi baada ya uzi wa kejeli kwa raha żako.😎

Well, keep enjoying the ride while the going is still euphoric, ni wakati wako huu.
 
lengo ni kua na walau ngome maalumu ambayo itakua inatuhakikishia viti viwili au vitatu vya ubunge katika kila uchaguzi uwe wa aina yoyote ile.

hivi sasa unaweza kusema ngome ya Chadema kisiasa ni wapi, yakutuhakikishia hata jimbo moja tu kwamba tutashinda? wapi nitajie..
alidokeza mnyetisha wa tetesi hii kwa kujiamini sana..

mwenyekiti Taifa,
anawafuasi wengi wa uhakika na wakuaminika kaskazini, hasa katika mkoa wa Arusha, lakini pia Kilimanjaro na Manyara anakubalika sana na chama kinaweza kujihakikishia kitu kule..
na huko ndiko chadema inawafuasi wengi, wanachama wengi, mashabiki wengi na wapiga kura wengi zaidi ya mahali pengine popote nchini...

tayari pendekezo hili limeshawasiishwa na mjumbe moja mwandamizi wa chama, kanda, tunasubiri vikao vya kamati kuu vikae, pendekezo lipokelewe, lijadiliwe na baadae mkutano mkuu kutoa kauli ya mwisho na kuamua itakavyokua..

ofisi za kanda,
ndiyo zipo, lakini kwakweli hazijakisaidia sana chama vya kutosha.

Dar es salaam, Zanzibar na Dodoma zitabaki kua ofisi ndogo ndogo za makao makuu, lakini pia ndizo zitakazokua ofisini kuu za kanda husika..
alihitimisha mnyetisha wa tetesi hii...

kisiasa,
Je, pendekezo hili likiafikiwa na mkutano mkuu, linaweza kuwasaidia chadema katika kujijengea ngome imara na ya uhakika sehemu fulani nchini, huko tunapoelekea na ikawa na sura kama ilivyo ACT Pemba?

au halina tija, ni kupoteza wakati na pesa tu,
bora waconcentrate na issue nyingine za kukijenga chama chao?🐒
Acha kupoteza mda na Chadema wenzako wengi tu walijiapiza wstaua Chadema wakafa wao yuko wapi jiwe to uko wapi Mzee wa gombe?
 
Back
Top Bottom