Makao makuu ya chedema taifa kuhamishiwa Arusha

Aisee pia hii pendekezo n pw kama itafanikiwa
 

Huyo mnyetishaji wako ametoroka hospitali ya Mirembe? Au ni yule aliyewaambia kuwa Lisu muda wowote alikuwa anategemewa kutangaza kuondoka CHADEMA?

Jf siyo mahali pa kuleta habari za wendawazimu na vichaa. Na wewe kwa nini kila mara unatafuta taarifa kutoka kwa wagonjwa wa akili badala ya kuwafuata watu wente akili timamu? Una ubia nao?
 
gentleman,
mbona unasema ukweli mtupu mchana kweupe aise ๐Ÿคฃ
 
unajua najiuliza sana ubaya wa pendekezo la muungwana kutaka makao makuu ya Chadema kua Arusha,
mbona ni jambo la kawaaida tu ndrugu zango?๐Ÿ’

inawezekana tatizo ni mimi mpostiji wa nilichonyetishwa ndio damu ya kunguni, right?๐Ÿ’

kwamba sifai au sina haki ya kufanya hivyo..

nikiri tu,
mimi ni mtu mdogo sana, mnyonge nisiestahili kua kitu mbele za watu,
ninachostahili mimi ni dharau, kejeli, kufokewa na pengine matusi...
nitafanyaje sasa zaidi ya kuyapokea tu ๐Ÿ’

hata hivyo,
kibaya ni kipi kwenye hiyo tetesi, na mbona hata bado hakija ridhiwa lakini wananyooshea kidole na kunishambulia?

makao makuu kuhamia Arusha ni nzur au sio sio nzur, na kwanini, huko ndiko ungejikita zaidi ๐Ÿ’
 
Ukweli ni upi? yaani msomali aache kuiba akuhurumie wewe Mtanzania?
kwamba msukuma anakupenda sana Ben,

aache kujaziwa sukari ya makampuni ya sukari mdomoni na kwenye mifuko yake yote mpaka kule bank, akose maisha matamu kwaajili yako kweli?๐Ÿ’
 
๐ŸŒˆ
 
Huko lengo wakisusa anaenda kwao kulala kama alivyosusiwa chama ndani ya week mbili kabla mzee wa gia angani hajaja na drama za chopa!
 
Acha majungu na ukabila wewe. Unataka upime upepo wa comments humu. Wewe ni chawa usiye na faida hata kwa mwajiri wako.
 
Ziliwe tu vitumbua, kwisha habari.
 
Acha majungu na ukabila wewe. Unataka upime upepo wa comments humu. Wewe ni chawa usiye na faida hata kwa mwajiri wako.
gentleman,
mbona mie sina ajira sasa itakuaje aise ๐Ÿ’

majungu yako upande gani mkuu?na halafu comments zitasaidia nini sasa aise ...

mwisho,
wew unaonaje ni vizuri au sio vizuri kuhamia chuga ๐Ÿ’
 
Lumumba mmepata Kiwewe leo Waso Kimeumana ni shangweee jimbo LIMEKWENDA

..masai sobay
 
Sikujua kuwa hata siasa inaweza kumpa mtu raha za bliss kiasi hiki. Mkuu naona comment zote za wadau, njema na mbovu, zote heri. Zinakupa raha tu. Kazi ya โ€œkuichekaโ€ CHADEMA ni burdani tupu! Ni uzi baada ya uzi wa kejeli kwa raha ลผako.๐Ÿ˜Ž

Well, keep enjoying the ride while the going is still euphoric, ni wakati wako huu.
 
Acha kupoteza mda na Chadema wenzako wengi tu walijiapiza wstaua Chadema wakafa wao yuko wapi jiwe to uko wapi Mzee wa gombe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ