Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Juzi nilimsikia Mheshimiwa Rais Magufuli akisema amehamia rasmi jiji la vumbi Dodoma na kujiandikisha mtaa wa jirani na ofisi yake na makazi yake yalipo Ikulu ya Chamwino.
Lakini kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikimuona Mheshimiwa akiapisha watu Ikulu ya Dar es Salaaam, na leo amepokea wageni kwenye ofisi yake ya Dar es Salaam.
Naomba kuuliza, makao rasmi ya Rais yako wapi, Dodoma au Dar es Salaam?
Gambino, the under boss of Gambino crime family in Africa.