britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Alikurupuka
"Kuamia", "suport", "ataama" .........rubbishes!!!Kuamia Dodoma ni moja ya political technical ya ku win funs base(suport) ...
Ni swala la kisiasa ila kiuchumi halina tija kwa nchi ni upanuzi wa matumizi ya serikali kwahyo muwe wapole ataama polepole kufika 2025 itakuwa tayari.
Atahama Dar ataweza?Juzi nilimsikia Mheshimiwa Rais Magufuli akisema amehamia rasmi jiji la vumbi Dodoma na kujiandikisha mtaa wa jirani na ofisi yake na makazi yake yalipo Ikulu ya Chamwino.
Lakini kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikimuona Mheshimiwa akiapisha watu Ikulu ya Dar es Salaaam, na leo amepokea wageni kwenye ofisi yake ya Dar es Salaam.
Naomba kuuliza, makao rasmi ya Rais yako wapi, Dodoma au Dar es Salaam?
Gambino, the under boss of Gambino crime family in Africa.
Ngosha mjanja, kawapeleka kina majaliwa mavumbini Dodoma, ye kabakia Dar ale Jodari na ngisi