Makao makuu ya Rais yako Dar es Salaam au Dodoma?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,050
Reaction score
12,968
Juzi nilimsikia Mheshimiwa Rais Magufuli akisema amehamia rasmi jiji la vumbi Dodoma na kujiandikisha mtaa wa jirani na ofisi yake na makazi yake yalipo Ikulu ya Chamwino.

Lakini kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikimuona Mheshimiwa akiapisha watu Ikulu ya Dar es Salaaam, na leo amepokea wageni kwenye ofisi yake ya Dar es Salaam.

Naomba kuuliza, makao rasmi ya Rais yako wapi, Dodoma au Dar es Salaam?

Gambino, the under boss of Gambino crime family in Africa.
 
Tafuta hela ya kula
 
Wizara ya Tamisemi ilihamia kwenye ofisi za mabati pamoja na Waziri wake.Sijui ilikuwa haraka ya nini kuhamia Dodoma?
 
Kuna msemo wa kilugha usemao kuwa ni ujinga kutilia maanani ahadi ya chizi
 
Kuamia Dodoma ni moja ya political technical ya ku win funs base(suport) ...

Ni swala la kisiasa ila kiuchumi halina tija kwa nchi ni upanuzi wa matumizi ya serikali kwahyo muwe wapole ataama polepole kufika 2025 itakuwa tayari.
Mpango mahususi umesukwa ili magufuli aendelee kubaki dar ni pamoja na kumzushia ugonjwa na kifo..
 
Kunywa beer mpwa wachana na mambo mazito hayo tafutia watoto chakula mengine tuwaachie wazee wa chamwino
 
Mbona jibu liko wazi?. Dar es Salaam!
 
Wewe unaahangaika na nini anapolalaa baba yako ndiko kwenu. Una lingine?
 
Usimuamini mwanasiasa yoyote.
Mwanasiasa yeye kuongea uongo ni kitu cha kawaida anaweza hata kuwaambia watu wa Dodoma au Singida kuwa atawapelekea meli iwasaidie kwa usafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…