Makao makuu ya Rais yako Dar es Salaam au Dodoma?

Kuamia Dodoma ni moja ya political technical ya ku win funs base(suport) ...

Ni swala la kisiasa ila kiuchumi halina tija kwa nchi ni upanuzi wa matumizi ya serikali kwahyo muwe wapole ataama polepole kufika 2025 itakuwa tayari.
"Kuamia", "suport", "ataama" .........rubbishes!!!
 
Atahama Dar ataweza?

Wote Wako hapa, yeye, Jokate, Angela Kairuki, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Fedha, Waziri wa Ulinzi, Mkuu wa Majeshi, Jaji Mkuu,Spika wa Bunge, Naibu Spika, IGP, DGIS nk.

Usifanye mchezo na bia za Dar bwana wewe!
 
Usimwamini mzee meko hasa akiwa na mzuka/akiwa na mike jukwaani.
 
Ngosha mjanja, kawapeleka kina majaliwa mavumbini Dodoma, ye kabakia Dar ale Jodari na ngisi

majaliwa umemwona huko Dodoma?
wote wako hapa! ni mbwembwe tuu hakuna uhalisia wa kwenda dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…