Huyo hafiki wiki Ijayo, nipo hapaIran wakikataa kusalimu amri basi wiki ijayo Ayatollah atapelekwa rasmi kwa mabikra kule akhera.
Ukimkurupua Ayatollah aseme kama alishawahi kusema Ataifuta Israel, atakushangaa kwamba aliwahi kusema lini hivyo na wapi?