Makapuku Forum


Ubaguzi wameuanza wao, sie tunaendelea walipoishia tu.

For the Love of God, please just pass....tuachie uzi wetu.
 
Asante kwa kumjibu vizuri mkuu
 
Naona hii dawa inawaingia taratibu, wanadhubutu kuja na ku-concept ili watuangushe kwa kujiona wao ni bora na ni werevu kumbe hamna lolote.

Watu wa 'dizaini' hii tuwapuuze.
 
Wewe hujielewi, kwa taarifa yako mods wanaujua vyema huu uzi kwahiyo hata wao watakushangaa sana.

Wee mpuuzi tu, hili ni jeshi la mtu mmoja. Unapoteza mda wako kubisha usichokielewa.
 
Ni miaka Saba sasa toka nijiunge jf ulikuwa ukichangia lazima uzinguliwe kipindi hicho kulikuwa Na mpambano kweli kweli mpaka tusiokuwa wakongwe wengi tulikuwa ni kusoma posti tu.

Bora sasa makapuku wengi mpaka uwezo Wa kujitetea upo jf izidi Na izidi kuwa Na maisha marefu saluti kwa MAKAPUKU WOTE Wa jf
 
Make somebody small does not make you bigger, hii ndio concept kubwa wanajiita wakongwe wanashindwa kuelewa! Kama tumeamua jf iwe ni social media then we should be social ourselves.

Kuna comment moja kwenye jukwaa la MMU ilitolewa na mkongwe, anatukana tusi zito, ila hakuna tatua inayochukuliwa, vitu kama hivi ndio vinawafanya hawa wakongwe wajione wako above everything.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…