Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na we ndio walewale miaka 4 umeshaanza dharau kiasi hikiwho asked you for your reply??
promo[emoji15] ? for what?[emoji3]
no need of promo.... and this is bullshit kind of thread [emoji4]
JF admins need to close because it preaches segregation among members
I hope u have got me[emoji4] [emoji4]
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Asante kwa kumjibu vizuri mkuuThanks for the goodluck wishes.
Ila unatakiwa ujue kitu kimoja, kwetu sisi neno KAPUKU ni neno ambalo tumelipa value ya juu kabisa, noble value!! Hivyo basi sisi kujiita makapuku wala isikupe shida, its our choice and will stand and die for it if neccessary!!
Kuhusu umaharufu, hiyo huwa ni resultant tu, hamna mtu ambaye huwa anakaa chini na kuengineer kuupata umaarufu, kama yupo basi huyo ni extraterrestial being!!!
And i feel sad haujaelewa the whole concept ya hii movement! Na ninahisi wengi hawajaielewa.
Nimeshampotezea kitamboooMKAUSHINI.....ataendeleza ligi
We ni maarufu ujue...!!
Mkaushie tu[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] ili achape mwendoUbaguzi wameuanza wao, sie tunaendelea walipoishia tu.
For the Love of God, please just pass....tuachie uzi wetu.
Na wenyewe ndo sisi TEAM MAKAPUKU tishio la Wakongwe jf.be careful JF ina wenyewe .
Mkaushie tu huyoNa wenyewe ndo sisi TEAM MAKAPUKU tishio la Wakongwe jf.
Naona hii dawa inawaingia taratibu, wanadhubutu kuja na ku-concept ili watuangushe kwa kujiona wao ni bora na ni werevu kumbe hamna lolote.Thanks for the goodluck wishes.
Ila unatakiwa ujue kitu kimoja, kwetu sisi neno KAPUKU ni neno ambalo tumelipa value ya juu kabisa, noble value!! Hivyo basi sisi kujiita makapuku wala isikupe shida, its our choice and will stand and die for it if neccessary!!
Kuhusu umaharufu, hiyo huwa ni resultant tu, hamna mtu ambaye huwa anakaa chini na kuengineer kuupata umaarufu, kama yupo basi huyo ni extraterrestial being!!!
And i feel sad haujaelewa the whole concept ya hii movement! Na ninahisi wengi hawajaielewa.
Wewe hujielewi, kwa taarifa yako mods wanaujua vyema huu uzi kwahiyo hata wao watakushangaa sana.promo[emoji15] ? for what?[emoji3]
no need of promo.... and this is bullshit kind of thread [emoji4]
JF admins need to close because it preaches segregation among members
I hope u have got me[emoji4] [emoji4]
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Wewe hujielewi, kwa taarifa yako mods wanaujua vyema huu uzi kwahiyo hata wao watakushangaa sana.
Wee mpuuzi tu, hili ni jeshi la mtu mmoja. Unapoteza mda wako kubisha usichokielewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] absurdNa wenyewe ndo sisi TEAM MAKAPUKU tishio la Wakongwe jf.
Vipi idadi ya LIKES??Makapuku ni nani?
TOP 10 makapuku tishio JF
Underground vs Wakongwe wa JF
JF kama Group la WhatsApp
KAPUKU ni
*Member mgeni
*Member asiye maarufu
*member underground
*Member mwenye post chache
*Member anayenyanyaswa
Nime subscribe kuwa follow kiukaribu Makapuku