Makapuku Forum

Makapuku Forum

Naona dhahiri kuna watu wanatamani kuingia kwa TEAM MAKAPUKU lakini sijui ni nini kinawaogopesha, labda itakuwa hawajiamini.

Kama wewe unajiona uko kwenye kundi la watu wanaokoswa haki hapa jf njoo tuungane kuudumisha UKAPUKU wetu, na sababu zinazotufanya sisi tujiite MAKAPUKU zinaeleweka wazi.
 
Back
Top Bottom