Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Ndio sisi ni Makapuku kweli na kwa sasa tuko kwenye harakati za kupigania haki sawa dhidi ya wale wanaojiita wakongwe, kama hujaelewa unaruhusiwa kuuliza tenaSasa hiki chama chenu cha makapuku hua wote humu ni makapuku kwelii? Au sielewi maana ya makapuku hebu nisaidieni kina bitozi na jimena