Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Unakosa raha sana,bado hujaenjoy maisha.God forbid...tufyakwe....mpango mzima kitu live!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakosa raha sana,bado hujaenjoy maisha.God forbid...tufyakwe....mpango mzima kitu live!!
Asante sana braza
Kwakwel nimeona nikimbilie huku kwa wenzangu
hebu tupia ka-clip ukipata kitu roho inapenda nione!Unakosa raha sana,bado hujaenjoy maisha.
Huu mwendokasiDuuh..... Nendeni polepole basi mnaniacha 😀😀
karibu uoge like za ukweli huku!Kwakwel nimeona nikimbilie huku kwa wenzangu
Karibu na wewe
Huu mwendokasi
Karibukuwa kapuku hapa jf ni raha,
heshima makapuku wenzangu..
Hahaha,raha sanaKwakwel nimeona nikimbilie huku kwa wenzangu
Karibu na wewe
Utakapopakuta unaendelea hapohapo...ila usichelewe sanaDuuh..... Nendeni polepole basi mnaniacha 😀😀
te te te te hao wanaojiita wakongwe mara wanaweka thread za kizungu utafikiri wametusomesha bana...makapuku na kizungu wapi na wapiHuu uzi unaenda vizuri sana kweli nimeamini mshana jr ni mlozi,yaani kila nikipita sehemu nakuta thread za wakongwe zimechina
niombe tu lifti wala usiogope [emoji594] [emoji594]Duuh..... Nendeni polepole basi mnaniacha 😀😀
Utakapopakuta unaendelea hapohapo...ila usichelewe sana
Mkuu watoto hawajalala bado.hebu tupia ka-clip ukipata kitu roho inapenda nione!
Acha tuu..... Yani hapa shemej yenu anashangaaa tuu...anadhan Nina mchepuko...kumbe ni kapuku forumDah,hii imekuwa hatari sasa,magufuli akipita hapo lazima utumbuliwe.