Makapuku Forum

Moja kati ya post yenye comments nyingi ni "wazee wenzangu wa kuweka mzigo /kubet" ni post ambayo watu wanajadili mechi za kila siku. Ina Miaka mawili na nusu na ina 28k comments (28000/365 x 2.5 ) =wastani wa comments 30 kwa siku. Hii ya makapuku ina siku 3 comments karibu 3k. Unaweza kupata picha jinsi movement hii inavyotikisa.
 
Mkuu makapuku wanatisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…