damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,464
Nzuri ndugu, sijui wewe, kwema?Tulikumisss brazaaa.... Habari za majukumuuu
Ha haaa Huyo trafik labda ni mkongweKwajinsi huu uzi unavyokimbia hata traffic akimulika tochi ataona vumbi tu.
Kazana mkuu...[emoji125] [emoji125]Nimejaribu kukimbia na hii speed ila wapi naona jasho tu linanifumuka niko hoi na bado nabaki hii speed labda bolt ndo anaweza loh!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ha haaa Huyo trafik labda ni mkongwe
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] mpendwaAsante sanaaa[emoji8]
Sema mkuuNiseme nisiseme
Makapuku tutajipangaa.... Aje huku geto nalala mwenyweanadaiwa kodi ya nyumba sasa unavomwambia ajiskie yupo nyumbani atatoroka sasa ivi [emoji5] [emoji4]
Basi kausha.... Wabeba box wanaonewa sana mwishoe nao wataanzisha uzi[emoji85]Lol....mambo gani tena haya
Hatari sana mkuu.makapuku ni balaaMakapuku tunatisha ile mbaya.
Furaha imenizidi aisee
Furaha imenizidi sanasema
Mwenyewe kila nikifukuzia naona nyota tu mkuuKwajinsi huu uzi unavyokimbia hata traffic akimulika tochi ataona vumbi tu.
Na zinaendelea kwa kasi ya ajabu.Aseee heshima kwa makapuku wenzangu wooooote juhudi zenu zimeonekana Hongereni sana na tusichoke harakati ziendeleeee
Pole sana mkuu,kazana utafika tu.Mwenyewe kila nikifukuzia naona nyota tu mkuu
Acha tuu mpendwa, kapuku forum inasababisha ndoa kuyumba...lol.Angalia usije vunja ndoa mkuu[emoji13] [emoji13]
Yan huku ni stress free zoneMakapuku tunatisha ile mbaya.
Furaha imenizidi aisee
Ngoja nipate hii kitu [emoji445] [emoji445] kutoka kwa ( )Hatari sana mkuu.makapuku ni balaa