Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Kwani ndoa bei gani,utaoa mwingine,tena utampata hapahapa.Acha tuu mpendwa, kapuku forum inasababisha ndoa kuyumba...lol.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ndoa bei gani,utaoa mwingine,tena utampata hapahapa.Acha tuu mpendwa, kapuku forum inasababisha ndoa kuyumba...lol.
Mwenyewe kila nikifukuzia naona nyota tu mkuu
Natafuta mfadhili anifunge cheni anivute..Pole sana mkuu,kazana utafika tu.
Ukiwa huku huwezi kujuta kabisaYan huku ni stress free zone
Zile stress za kazin na daladala tupa kuleeee
Huku ni furaha tu
Jf raha sana hasa ukiwa ndani ya makapuku family
Inashangaza kwa kweli....sredi za wakongwe zimewachachia.Uzi huu unapokea comments tano kwa sekunde😱😱😱
Amazing grace😱
Hahaha.Natafuta mfadhili anifunge cheni anivute..
[emoji101] [emoji101] [emoji101] semaaNiseme nisiseme
Unajutaje kwa mfanoUkiwa huku huwezi kujuta kabisa
AmenUzi huu unapokea comments tano kwa sekunde😱😱😱
Amazing grace😱
Chama la wana. Makapuku familyUnajutaje kwa mfano
Le family ya ukweli hii
Takukuru tena? LolUoni kama unawapa takukuru mwanya wa kuku chunguza
Ha ha ha haaKwani ndoa bei gani,utaoa mwingine,tena utampata hapahapa.
wanakoenda watagoma na kutuletea perfumeBasi kausha.... Wabeba box wanaonewa sana mwishoe nao wataanzisha uzi[emoji85]
Nimejiwekea malengo cha kushangaza nimevuka mara mbili.... Ongezeni like jamani kama pongezi kwanguUkiwa huku huwezi kujuta kabisa
Hahaha,naona mkuu una speed ya punda.Mtanisamehe wakuu nipumzike kidogo maana ulimi njee ntarudi usiku wa manane speed ikipungua niwape zawadi ya likes kwa kazi nzuri mnayofanya
MAKAPUKU OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE