Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ni miaka Saba sasa toka nijiunge jf ulikuwa ukichangia lazima uzinguliwe kipindi hicho kulikuwa Na mpambano kweli kweli mpaka tusiokuwa wakongwe wengi tulikuwa ni kusoma posti tu. Bora sasa makapuku wengi mpaka uwezo Wa kujitetea upo jf izidi Na izidi kuwa Na maisha marefu saluti kwa MAKAPUKU WOTE Wa jf

Shukrani Mkuu, umeonyesha uzalendo wa hali ya juu sana.

Asante kwa 'support' yako kuipa nguvu TEAM MAKAPUKU kuendelea kuwa rise up.
 
Back
Top Bottom