Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Nakusemea kwa wifiSauti soul ft Alikiba- unconditionally bae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusemea kwa wifiSauti soul ft Alikiba- unconditionally bae
Nahisi jirani una nguvu za ziada....youngblood atakukaba
Mi sio mchoyo wewe [emoji54]
Si kwa muda tu jamani [emoji27] [emoji27] UsimwambieNakusemea kwa wifi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nafikiri atakuwa anabrush viatu tayari kwa ulozi.Asante...
Mko na kasi ya ajabu hatare...., usikuni mwema ambao time zone zinasoma hivyooo
mshana jr najua hii we mida yako ya kujidai
au tupigane na youngblood alafu atakayeshinda ndo anakuwa mmiliki?Mi sipo [emoji125] [emoji125]
Heheheheeeee.... Ukafie segerea uwaachie wenzako wafaidiAisee nitauwa mtu.
In JF as alwaysNaona nawewe umekuwa addicted
Afadhali hataHata mi nimethibitisha..
aah! hapa mweny kisu kikali ndiye atakaye kula nyamaHizo mali za watu mkuu.
Wewe ni Oldblood mkuu,tena ile ambayo ni infected.youngblood tuko na same blood hivyo hawezi kuzingua
Hapana [emoji27] [emoji27] Msipiganeau tupigane na youngblood alafu atakayeshinda ndo anakuwa mmiliki?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hebu tuambie mkuu umethibitishaje.Hata mi nimethibitisha..
ahaa! basi kama hutaki tusipigane KUJA kwangu fasterHapana [emoji27] [emoji27] Msipigane
Wifi yetu kutoka sitimbi naona nafanya yake tayari[emoji2] [emoji2]