Shukrani kwa magazeti
Hahhaha kweli ndio naulizwa leoUmepona ?
Shunie 😢Hahhaha kweli ndio naulizwa leo
Eti jamani.Hahhaha kweli ndio naulizwa leo
Abeeh PShunie [emoji22]
Auntie nimeumwa week nzima mpaka sasa hivi najisikia nafuu jamani nakuja kuulizwa leo [emoji1787] kweli tumebaki kuwa mtu na broh akeeEti jamani.
Nami nimeshangaa na bado nashangaa Auntie[emoji1787][emoji1787]
Hii post itakuwa imefanyiwa editing nini...na bitozi atakuwa amehama nini?Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote hum
Karibu sana
Nimekaa hapa napigwa na baridi nikisubiri je wajua? Ila mpaka sasa hola.Abeeh P
Yupo mbona na alikuwa anapita mara moja moja kusoma magazeti.Hii post itakuwa imefanyiwa editing nini...na bitozi atakuwa amehama nini?
Je wajua kesho kutwa PNimekaa hapa napigwa na baridi nikisubiri je wajua? Ila mpaka sasa hola.
Kwani ulikua unamuona akija kusoma magazeti [emoji1787][emoji1787]Yupo mbona na alikuwa anapita mara moja moja kusoma magazeti.