[emoji1787][emoji1787] Lee ni chaguo langu auntie nitazunguka weeh nitarudi kwake
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm), Dk Faraja Kristomus, amesema Katiba ya sasa imempa mamlaka makubwa Rais kiasi kwamba ana nguvu kuliko mihimili mingine ya Serikali.
Dk Kristomus ameyasema hayo leo Septemba 6, 2023 wakati akichangia kwenye mjadala wa Mwananchi X – Space ulioandaliwa na kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) ukiwa na mada inayosema: “Nini maoni yako kuhusu miaka mitatu ya elimu ya Katiba kwa wananchi?”
Amesema Tanzania ina changamoto kubwa ya kwamba Rais amepewa mamlaka makubwa ambapo huko mbele ana wasiwasi kwamba mihimili mingine haitakuwa na meno tena ya kuiwajibisha Serikali.
View attachment 2741740
Vipi mkuu ?[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] mshaharibu asubuhi yangu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtaachana tuu ni swala la muda.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kupendwa raha
Kheee na wewe pia[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] mshaharibu asubuhi yangu
[emoji1787][emoji1787] Kawaida tu hiyo kwetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waachane mara ngapi?
Shetani yuko kazini🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787] Kawaida tu hiyo kwetu
Ukute ni ndugu zake kikuu maana ana mambo ya kizamadamu.Watafiti huko Berlin, Ujerumani wamegundua ndugu walio hai, wa watu ambao mabaki yao yaliibiwa kutoka Tanzania na kupelekwa Ujerumani kwa ajili ya majaribio ya "kisayansi" wakati wa ukoloni.
BBC imeripoti kuwa jumba la Makumbusho la Historia ya Awali la Berlin, limekuwa likifanya utafiti tangu mwaka wa 2017 kuhusu mafuvu 1,100, ambayo yaliyochukuliwa kutoka iliyokuwa ikijulikana kama Afrika Mashariki ya Kijerumani.
Jumba hilo la makumbusho limesema hayo Jumanne Septemba 5, 2023; na kwamba uchambuzi wa vinasaba (DNA), ndiyo chanzo cha ugunduzi huo wa vizazi vilivyo hai nchini Tanzania, huki ikutaja kama "muujiza."
"Hawa ndugu, jamaa na Serikali ya Tanzania, sasa watajulishwa haraka iwezekanavyo," jumba la makumbusho limesema katika taarifa yake.
Mafuvu hayo ni sehemu ya mkusanyiko wa takriban mafuvu 7,700, ambayo yapo katika jumba hilo, yakiletwa kutoka hospitali ya Charité ya Berlin mwaka wa 2011, mamlaka ya makumbusho hiyo imesema.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo ambayo imeripotiwa na gazeti la The Guardian la Uingereza, wengi wao walikuwa sehemu ya mkusanyiko uliokusanywa na daktari na mwanaanthropolojia Felix von Luschan wakati wa utawala wa kikoloni wa Wajerumani.
Mabaki hayo yanadhaniwa kuibwa kutoka kwenye makaburi na maeneo mengine ya kuzikia duniani kote na kupelekwa Ujerumani kwa majaribio ya "kisayansi".
Afrika Mashariki ya Ujerumani ilijumuisha Burundi ya sasa, Rwanda, Tanzania Bara na sehemu ya Msumbiji.
View attachment 2741750
Vipi mkuu ?
[emoji1787][emoji1787]Shetani yuko kazini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Muite makiiiShetani yuko kazini🤣🤣🤣🤣
Vitenge vipi? Muulize vizuri alikovipeleka.Namshangaa sana
Yuko busy na mambo ya msingi.Muite makiii
Kuna mambo ya kimsingi zaidi ya kupendwa ....Yuko busy na mambo ya msingi.