Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm), Dk Faraja Kristomus, amesema Katiba ya sasa imempa mamlaka makubwa Rais kiasi kwamba ana nguvu kuliko mihimili mingine ya Serikali.
Dk Kristomus ameyasema hayo leo Septemba 6, 2023 wakati akichangia kwenye mjadala wa Mwananchi X – Space ulioandaliwa na kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) ukiwa na mada inayosema: “Nini maoni yako kuhusu miaka mitatu ya elimu ya Katiba kwa wananchi?”
Amesema Tanzania ina changamoto kubwa ya kwamba Rais amepewa mamlaka makubwa ambapo huko mbele ana wasiwasi kwamba mihimili mingine haitakuwa na meno tena ya kuiwajibisha Serikali.