Makapuku Forum

Shunie punguza basi kidogo hizo ma PDA unanitesa sana ujue basi tu nashindwa cha kufanya kwakuwa niko nyuma ya keyboard. Ila ilaa yote ni maisha we endelea kuutesa wangu moyo uliozama kisawasawa kwenye kina cha chini cha moyo wako. Nakuomba unihurumie tuu. 🥺😞😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…