Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unaamuaga tu kutuchafulia ukoo🙆🙆🙆🙆[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nampenda hivyohivyo ila Lee hapana jamani auntie bwanah eti nilimuokota wapi
🤣🤣🤣🤣🤣Hivi auntie huyo kikuu unayemtag ndio kweli anakuja utaambia nini watu [emoji1787][emoji1787]
Way back in time! Maana nlikuwa najua we ni mfupi, na watu wafupi walivyowabishi 😀Umenikumbusha mbaaali! Kipindi bora kabisa sijui kilifia wapi🙆🙆🙆
On a serious note, lini na wapi ulinitetea?
🤣🤣🤣🤣🤣 Kwahiyo ukathibitisha mie mfupi?Way back in time! Maana nlikuwa najua we ni mfupi, na watu wafupi walivyowabishi 😀
Siku hizi gazeti hili halisambazwi nchi nzima?
Nipo hapa bebi wako, shuga sukari, utamu kolea..
Mengine ya siri za chumbani hazikuhusuKafanyia jf?
Nipo hapa bebi wako, shuga sukari, utamu kolea.
Oyaa.. baba yaje kina bruce na jet.. uzao woote wa kina lee, inakuwaje mzee.Asanteee sana babe wangu kipenzi
🤣🤣🤣🤣🤣 kwani nani huwa anamblock mwenzake?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu ujue hata nje ya jf yupo hivyohivyo Lee ni pasua kichwa
Mkuu tuheshimianeeee ....Shunie punguza basi kidogo hizo ma PDA unanitesa sana ujue basi tu nashindwa cha kufanya kwakuwa niko nyuma ya keyboard. Ila ilaa yote ni maisha we endelea kuutesa wangu moyo uliozama kisawasawa kwenye kina cha chini cha moyo wako. Nakuomba unihurumie tuu. 🥺😞😢
Daaaah mkuu kitamboo kweli ...salaaamOyaa.. baba yaje kina bruce na jet.. uzao woote wa kina lee, inakuwaje mzee.
Ni kweli mkuu, vipi hali yako na uwapendao?Daaaah mkuu kitamboo kweli ...salaaam
Huyo ndo babe wake au?Hivi auntie huyo kikuu unayemtag ndio kweli anakuja utaambia nini watu [emoji1787][emoji1787]