Shindwaaaaaa!
Sijakuona huko mitaani leo ukizurula na hapa nyumbani pia haupo πShindwaaaaaa!
Kenge weweπ€£π€£π€£Sijakuona huko mitaani leo ukizurula na hapa nyumbani pia haupo π
Nataka kusema sipendi kukuona ukinuna. Nimezoea kukuona ukiwa na furaha tele. π€Kenge weweπ€£π€£π€£
Ndio unataka kusemaje?
Ndio uwe unanitumia bando sasa.Nataka kusema sipendi kukuona ukinuna. Nimezoea kukuona ukiwa na furaha tele. π€
Mi ni mlala hoi mwenzako ndio maana nipo hapa makapuku forums πNdio uwe unanitumia bando sasa.
ππππMi ni mlala hoi mwenzako ndio maana nipo hapa makapuku forums π
Usinifokee kisa vocha π una nini wewe lakini.ππππ
Basi kalale upumzishe fuvu!
Kalale bwana we π€£π€£π€£Usinifokee kisa vocha π una nini wewe lakini.