Makapuku Forum

Makapuku Forum

.
[emoji599] JUST IN: Uongozi wa klabu ya Singida Fountain Gate, kupitia kwa Afisa habari Hussein Massanza umetangaza hakuna kiingilio katika mchezo wao dhidi ya Future FC ya nchini Misri [emoji1093] hatua ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika katika uwanja wa Azam Complex, Jumapili hii saa 10:00 jioni.
Screenshot_20230912_132106_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom