Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hyatt Regency

“Niwapongeze TFF chini ya uongozi wa Wallace Karia, Karia ameandika rekodi ni raisi wa kwanza wa TFF kupeleka timu AFCON mara mbili kwenye uongozi wake. Afrika ina nchi wanachama 54 lakini katika hizo ni 24 tu ndio zitafuzu, maana yake nyingi hazitafuzu lakini katika hizo chache na sisi Tanzania tumo.”

- Mhe Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro.
Screenshot_20230912_134500_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom