Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mpole nani etiiiiNa upole wote huu[emoji15][emoji15][emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpole nani etiiiiNa upole wote huu[emoji15][emoji15][emoji15]
Babe ile kitu jamaniiiHaya babe
🤣🤣🤣🤣🤣 sio ya vitenge?Huyu namjua vzuriii na magauni yake ya maua maua
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Alafu kweliii ...jioni ukipateBabe ile kitu jamaniii
Picha zangu hazijakufia auntie [emoji1787]Namimi naiomba hiyo picha, haiwezekani!!
Hivi ndio pafu moja inakaa kichwani kwa muda gani🙆🙆🙆Haya babe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tunamshukuru Mungu kwakweli wamesambaziana picha weeh mpaka wamechoka
[emoji1787] Nacheka mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio ya vitenge?
Mimi sitaki bhana[emoji23][emoji1787] Auntie sio vizuri ujue
Mh au unachanganya habari ile niliyokutumia picha ile siku [emoji1787]Alafu kweliii ...jioni ukipate
Achana nao.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jf hapana kuna mambo yaweza kuendelea wewe muhusika hata huyajui jamaniii unabaki kushangaa na kucheka
Mimi hapa auntie yangu kipenzi.Mpole nani etiiii
Halafu Lee hanywi pombe kabisa hata harufu haipendi kabisa kuisikiaHivi ndio pafu moja inakaa kichwani kwa muda gani[emoji134][emoji134][emoji134]
Inategemea ...Hivi ndio pafu moja inakaa kichwani kwa muda gani[emoji134][emoji134][emoji134]
Watu wa iPhone mnajikutaga...Picha niliweka mimi wala usisumbue kichwa
Ndio si ulichosema double [emoji1][emoji1]Mh au unachanganya habari ile niliyokutumia picha ile siku [emoji1787]
Haya ndio mambo sasa 🤣🤣🤣Babe ile kitu jamaniii