Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
😂 Mi sizururi bana nipo hapa hapa makapuku kwaajili ya mtu makini sana si ushamjua?Aaah wewe mwenyewe umeshindwa kutafuta mchumba wako unazurura tu kama kuku alopoteza vifaranga. Huyo wa kunitafutia mie unamtoa wapi? Wewe ndio uhame nyumbani, mama kasema tukunyime chakula.