Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhWatu wawili wanaodhaniwa kuwa ni wapenzi wamekutwa wamekufa huku mwanamke akiwa amechinjwa na mwanaume ambaye hajafahamika jina akiwa na jeraha kubwa tumboni lililosababisha utumbo kutoka nje.
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo Jumatatu Septemba 18, 2023 katika Mtaa wa Oysterbay, Kata ya Dodoma Makulu kwenye chumba ambacho mwanamke aliyeuawa Samira Mathias alikuwa amepanga.
Akizungumza na Mwananchi katika eneo la tukio mwenye nyumba hiyo, Donald Nhembelo amesema alisikia kelele za kuomba msaada kutoka kwenye chumba cha mpangaji wake (Samira) saa 7.00 usiku.
Amesema baada ya kufika kwenye chumba hicho alisikia sauti ya mwanaume akiomba msaada ndipo alipouliza Samira yuko wapi na kujibiwa kuwa hawezi kuongea na yeye hawezi kusimama.
“Aliniomba nivunje mlango ili nimsaidie. Nilivunja ubao uliopo juu ya mlango (Venti) na kuingiza mkono kwa ndani na kufungua mlango na nilipowasha taa ndipo nilikuta Samira yuko juu ya kitanda amenyamaza,”amesema.
Amesema damu zilikuwa zimetapakaa kitandani na sakafuni huku mwanaume aliomba msaada ambaye hamfahamu akiwa amelala chini huku utumbo wake ukiwa nje.
Amesema baada ya kuona hali hiyo, aliripoti polisi ambao walifika kwenye eneo hilo ambao baadaye waliondoka na miili ya watu hao.
Balozi wa mtaa wa Oysterbay, Isaya Mabigiri amesema amepata taarifa za uwepo wa tukio kutoka kwa mwenye nyumba hiyo na alipokwenda alikuta miili ya watu.
View attachment 2754130
Daaah [emoji1787][emoji1787] ila carascoAsante kwa Magazine mke wa mbunge mtarajiwa [mention]Shunie [/mention]
Hatujambo moud za weweHamjambo
..binafsi sijambo sana mdau, asante kwa kunijulia hali. Sio veterani mwenzangu makaveli10 anasingizia mgao wa umeme wakati viongozi wanasema sio mgao ni upungufuHamjambo
...sema asante, ukute Carasco Putin ni kati ya manabii tunaowasubiri ukiondoa nabii Mashimo au Mussa wa CarabashDaaah [emoji1787][emoji1787] ila carasco
....hapo wabunge wenzake tunapiga makofi na kugonga meza utasema posho ya kujikimu imetokaAsante kwa Magazine mke wa mbunge mtarajiwa [mention]Shunie [/mention]
Mgao maana yake kugawa, imetokana na neno gawa, gawanya, yaani kila mtu apate hata hicho kidogo, huenda ikawa zamu zamu...binafsi sijambo sana mdau, asante kwa kunijulia hali. Sio veterani mwenzangu makaveli10 anasingizia mgao wa umeme wakati viongozi wanasema sio mgao ni upungufu
Mbunge wa jimbo lisilo EKSI ZI STI.....hapo wabunge wenzake tunapiga makofi na kugonga meza utasema posho ya kujikimu imetoka
....hii imekaa kikubwa sana. Kwa hiyo wale ambao hatujakamilisha ada tusikopi notice!?Mgao maana yake kugawa, imetokana na neno gawa, gawanya, yaani kila mtu apate hata hicho kidogo, huenda ikawa zamu zamu.
Mfano.
KUGAWA URODA.
Upungufu, imetokana na neno, pungua, yani kitu ambacho hakijafikia utimamu wake(kihisabatia tunaita kitu kizima), kama ukihitaji maji lita 1 ukapata ½ lita maana yake hapo ½ ni pungufu
Mfano.
Upungufu wa kinga za mwili.
Tutunge sentensi kutokana na maneno MGAO na upungufu.
UKIGAWA sana uroda, utapata UPUNGUFU wa kinga za mwili.
See you next time class, see you, when you see me.😂
Duh!!Je wajua inakujia na shunie shunieView attachment 2753484
Kopini, ila waambieni wazee wenu wapunguze kunywa bia, walipe ada.......hii imekaa kikubwa sana. Kwa hiyo wale ambao hatujakamilisha ada tusikopi notice!?