Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Kaka yenu sio mtu yule alinipiga teke la tumbo mxxxxxieee muuaji yule sina ham nae nikamtukaanaaa, nikamfutilia mbali .. ila sasa hivi nammiss eti😍😍[emoji1787][emoji1787] my wiiii nimecheka sanaaa miss u too dear nani alikuficha lakini nimefurahi mnoo kukuona jamani