Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante kwa kuniita mratibu mkuu wa makapuku.[emoji1787]

Na mimi naungana na makapuku wote(japo mie sio kapuku), I wish madam Makiwendo mwaka mwingine wenye baraka zote, afya ya kutosha na mafanikio kama yote, azidi kuwa kabinti!!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ahsante Mtani wangu....Na My Forever Shem...
Huna Baya.
 
Asante kwa kuniita mratibu mkuu wa makapuku.[emoji1787]

Na mimi naungana na makapuku wote(japo mie sio kapuku), I wish madam Makiwendo mwaka mwingine wenye baraka zote, afya ya kutosha na mafanikio kama yote, azidi kuwa kabinti!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kikubwa umefika halafu hatupo makapuku jamani hilo ni jina tu kila siku tunakwambia
 
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amewataka Wasanii wanaovuta bangi na unga kujirekebisha na kuacha mara moja kwakuwa orodha ya wote wanaovuta anayo na kwamba Mamlaka hiyo inakamilisha ujenzi wa Maabara mpya ya Ukaguzi na Sayansi Jinai yenye mitambo ya kisasa na ikikamilika Wasanii hao watapimwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Akiongea leo November 14,2023 Jijini Dar es salaam, Lyimo amesema “Nitoe wito kwa Wasanii wanaotumia dawa za kulevya tuna orodha yao, tuna orodha ya wanaovuta bangi, tuna orodha ya wanaovuta heroin na cocaine, tunawapa muda wa kujirekebisha hii mitambo yetu ya maabara ikikamilika tutawachukulia hatua wote tutawapima na tukijiridhisha mnatumia mtachukuliwa hatua ikiwemo kufikishwa Mahakamani”

“Wafikishieni taarifa Wasanii tunawapa muda tu maabara ikikamilika tutashughulika nao, BASATA tulifanya kikao nao na waliridhia tuchukue hatua tutapeleka majina yao, hatutojali ukubwa wa Msanii, hatutotajli anapendwa vipi na Mashabiki ilimradi anatumia dawa za kulevya tutamchukulia hatua”

“Wasanii wengine wanashawishiwa na Wasanii wenzao kutumia bangi na dawa nyingine za kulevya, narudia tulikuwa hatujakamilisha ujenzi wa maabara yetu, maabara yetu ikikamilika tutawashughulikia”
Screenshot_20231114_150232_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom