Makapuku Forum

Makapuku Forum

Happy Birthday to you Auntie akee Makiwendo unapoongeza mwaka leo basi zikaongezeke heri zaidi, furaha na mafanikio katika maisha yako, Happy Birthday to you mama twins, me ninachojua nakupenda mnooooo [emoji3590][emoji3590] subiria muamala wa beer mbili tatu [emoji847]
...sijui kwanini nakuwaga wa mwisho kujua mambo mazuri kama haya ya besidei. Najua sijachelewa kumtakia Makiwendo heko ya kuzaliwa leo. HBD mdau na uifurahie siku hii nzuri.
 
Back
Top Bottom