Makapuku Forum

Inasikitisha... 😔😔
 
Inasikitisha...
 
Baridi hili, ndio unajua ugumu wa kumshinda shetanj..
Baridi hili kulala kama PANGA la osman bey hainogi, baridi hili ulale nyuma ya matako kaka, unasahau tabu na shida za dunia.
...lol. Ndiyo maana mdugu nimeweka tangazo humu kwamba baridi hili linahitaji jirani mtunza siri. Sio mwenyekiti wa kikundi cha kufa na kuzikana
 
Amin

Amini nakwambia kaka, kila nikikupigia simu inagoma kutoka, imegoma inaogopa mvua..
Tusubiri mvua ikate kaka, jua likiwa kali tutapiga kaka. 😂
....duh, sasa veterani hapo si ndo mpaka wakati wa mavuno? na kitoto kishatambaa zake, unaruudi kwenye harakati za dokta love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…