Makapuku Forum

Hapo mwishoni Mtalaam kaweka Mabeki saba halafu timu karibia yote ipo chini, imefika wakati wa kona Wachezaji hawajui nani akapige kona[emoji3] hiyo ndio Haram Football sasa!

Mourinho aliwahi kuwaambia Wachezaji wake acheni kila kitu nisikilizeni tu Mimi na msiongeze kitu, ndio hii ya leo[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…