Makapuku Forum

Makapuku Forum

Timu bora imeshinda. #TotalEnergiesCAFCL #WenyeNchi #NguvuMoja
Screenshot_20231219_182619_Instagram.jpg
 
Hapo mwishoni Mtalaam kaweka Mabeki saba halafu timu karibia yote ipo chini, imefika wakati wa kona Wachezaji hawajui nani akapige kona[emoji3] hiyo ndio Haram Football sasa!

Mourinho aliwahi kuwaambia Wachezaji wake acheni kila kitu nisikilizeni tu Mimi na msiongeze kitu, ndio hii ya leo[emoji3]
Screenshot_20231219_182838_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom