Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hapanaa, nitanunua🤣🤣Tunakuwa kama tunabet eenh [emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapanaa, nitanunua🤣🤣Tunakuwa kama tunabet eenh [emoji1787][emoji1787]
Huo ni wivu tu🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bora nitumie kitorch mara mia wereva hapana
Auntie hutanunua weweHapanaa, nitanunua[emoji1787][emoji1787]
Acha nibaki tu na wivu [emoji1787] wereva hapanaHuo ni wivu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787]Mnayeyuka taratibu na pesa zenu[emoji1787][emoji1787]
Niamini basi🤣🤣Auntie hutanunua wewe
Simu bora duniani.Acha nibaki tu na wivu [emoji1787] wereva hapana
Hahahahaha, kawaida tu..napenda kufurahiWe mzee ebu nini unacheka eti jamanii
Akapimwe akiliMtoto wa miezi mitano, Leornad Kabilu, mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa wilayani Geita amefariki dunia baada ya kupigwa na baba yake sehemu mbalimbali mwilini kwa kutumia mkanda na kiatu.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea jana Alhamisi Januari 11,2024 saa saba usiku wakati wakiwa wamelala na chanzo cha tukio hilo kinadaiwa ni ugomvi wa kifamilia.
Kamanda Jongo amesema mtuhumiwa, Kabilu Mayege (20) baada ya kutenda kosa hilo ametoroka na Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta.
Akizungumza mama wa mtoto huyo, Riziki Leornad amesema siku ya tukio mumewe alitoka kuangalia mpira na akataka amuandalie chakula wakati mtoto amelala na wakati anakula mtoto alianza kulia na mama akabaki akitoa vyombo mezani na mumewe kupanda kitandani alikokuwa amelala mtoto.
View attachment 2869712
Tanzania kuna Matukio mengi sana ya mauaji yanaripotiwa kila siku, sijui tatizo nnAkapimwe akili
Sijui ni ugumu wa maisha au ni nini.Tanzania kuna Matukio mengi sana ya mauaji yanaripotiwa kila siku, sijui tatizo nn