Hahaha.....haya mwambie atume namba ya wakala 😜Babu leo nafarijika sana sanaa [emoji120][emoji120] babu sio lazima nize jirani mitandao siku hizi imerahisisha kila kitu unaweza tu kunitumia nilipo nikanywa tu babu [emoji1787] asiione auntie yangu Atoto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utakuwa hujaelewa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwahiyo ukanichunia si etiiiiiii ila utakuwa umenifananisha auntie nimelala toka asubuhi jamani
Akiii sijaelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] najua umeniona huku mitaa ya mjini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utakuwa hujaelewa..
Nakuchek chemba mida...
Usikute ni mhehe unatuchora tu!Siwapendi hawa viumbe[emoji134]
Eliiiii!! Umefufuka😂😂😂Usikute ni mhehe unatuchora tu!
[emoji28]
😂😂😂😂😂Alooooh lipa no ya tigo hiyo babu 5456355 [emoji847] asiione auntie yangu atoto [emoji1787]
Kwa ninayoyaona humu, naweza kufa tena!Eliiiii!! Umefufuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Usife bwana, bado tunakuhitaji.Kwa ninayoyaona humu, naweza kufa tena!
[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie nina biashara ujue lipa no lazima ziwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Auntie una hadi lipa namba!! Sikuwezi