Mapenzi ya Kweli.Namba 1.
Haya mara zote ni yale ambayo mwanaume anataka kabisa akuoe uwe mke wake. Yani hataki kabisa Ukae mbali naye.
USHAURI:
MKE TUNZA SANA MUME WAKO. ANAKUPENDAA KWA DHATI.
Mapenzi namba 2.
Haya mara nyingi mwanaume anakupenda kwa vile ,
*Kwake kuna mitafaruku. Yani siku ikiisha hutamuona. Niamini.
*Amekutamani tuu. Siku akikuzoea hutamuona.
*Unatumika kama Kifanyio.Yani Utafanywa wewe mpaka useme tui. Maana kila mkikutana Ni Kufanywa tuuu.
USHAURI:
MWANAMKE KAA UKIJUA HUYO MWANAUME IKO SIKU ATARUDI KWAKE. NIAMINI..
Mapenzi namba 3.
Mwanaume anakufuata. Unamkubali kwa sababu anakusaidia tu kimaisha. Yani Anakutunza tuu. Kakufuata kwa sababu ya penzi namba 2. Either kwake kuna Mitafaruku ama Umemvutia.
USHAURI:
MWANAMKE PENZI LA HIVI HUTAKAA ULIFURAHIE. NI SHIDA ZINAPELEKEA UKUBALI. NI KAMA UKO JELA YA MAPENZI.
WEWE PENZI LAKO NI NAMBA NGAPI?
View attachment 2870260