Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20240113_062135_InstaPro%20.jpg
 
Mapenzi ya Kweli.Namba 1.
Haya mara zote ni yale ambayo mwanaume anataka kabisa akuoe uwe mke wake. Yani hataki kabisa Ukae mbali naye.

USHAURI:
MKE TUNZA SANA MUME WAKO. ANAKUPENDAA KWA DHATI.

Mapenzi namba 2.
Haya mara nyingi mwanaume anakupenda kwa vile ,
*Kwake kuna mitafaruku. Yani siku ikiisha hutamuona. Niamini.
*Amekutamani tuu. Siku akikuzoea hutamuona.
*Unatumika kama Kifanyio.Yani Utafanywa wewe mpaka useme tui. Maana kila mkikutana Ni Kufanywa tuuu.

USHAURI:
MWANAMKE KAA UKIJUA HUYO MWANAUME IKO SIKU ATARUDI KWAKE. NIAMINI..

Mapenzi namba 3.
Mwanaume anakufuata. Unamkubali kwa sababu anakusaidia tu kimaisha. Yani Anakutunza tuu. Kakufuata kwa sababu ya penzi namba 2. Either kwake kuna Mitafaruku ama Umemvutia.

USHAURI:
MWANAMKE PENZI LA HIVI HUTAKAA ULIFURAHIE. NI SHIDA ZINAPELEKEA UKUBALI. NI KAMA UKO JELA YA MAPENZI.

WEWE PENZI LAKO NI NAMBA NGAPI?
Screenshot_20240113_071506_InstaPro%20.jpg
 
Mapenzi ya Kweli.Namba 1.
Haya mara zote ni yale ambayo mwanaume anataka kabisa akuoe uwe mke wake. Yani hataki kabisa Ukae mbali naye.

USHAURI:
MKE TUNZA SANA MUME WAKO. ANAKUPENDAA KWA DHATI.

Mapenzi namba 2.
Haya mara nyingi mwanaume anakupenda kwa vile ,
*Kwake kuna mitafaruku. Yani siku ikiisha hutamuona. Niamini.
*Amekutamani tuu. Siku akikuzoea hutamuona.
*Unatumika kama Kifanyio.Yani Utafanywa wewe mpaka useme tui. Maana kila mkikutana Ni Kufanywa tuuu.

USHAURI:
MWANAMKE KAA UKIJUA HUYO MWANAUME IKO SIKU ATARUDI KWAKE. NIAMINI..

Mapenzi namba 3.
Mwanaume anakufuata. Unamkubali kwa sababu anakusaidia tu kimaisha. Yani Anakutunza tuu. Kakufuata kwa sababu ya penzi namba 2. Either kwake kuna Mitafaruku ama Umemvutia.

USHAURI:
MWANAMKE PENZI LA HIVI HUTAKAA ULIFURAHIE. NI SHIDA ZINAPELEKEA UKUBALI. NI KAMA UKO JELA YA MAPENZI.

WEWE PENZI LAKO NI NAMBA NGAPI?
View attachment 2870260
4 😂😂😂
 
Supa Staa wa Senegal Sadio Mane aliandaa ndoa yake na mrembo akiwa bado mdogo na hawakufanya chochote hadi hapo walipofunga pingu za maisha hivi karibu, anafichua baba mkwe.
.
Mane, 31, alifunga ndoa na mrembo Aisha Tamba, 18, katika sherehe za siri zilizofanyika Keur Massar, Jijini Dakar, siku chache kabla ya kuanza kwa fainali za Afcon 2023 huko Ivory Coast.
.
Wawili hao walikutana kupitia wakala wa Mane, ambaye ni rafiki wa baba yake mrembo Aisha, Amadou Tamba, ambapo kwa kipindi hicho binti huyo alikuwa na umri wa miaka 16. Tamba alisema alitambulishwa kwa Mane miaka miwili iliyopita na kusema mtoto wake kwa sasa umri wake ni miaka 18. Awali ilidaiwa wawili hao wamekuwa kwenye uhusiano kwa siri, lakini Tamba alisema Mane na Aisha hawajawahi kuwa na uhusiano kabla ya kuoana.
.
Baba huyo alisema: “Mke wangu na Aisha walitembelea familia ya Mane, na huko ndiko walikokutana kwa mara ya kwanza. Aliona kitu kwa binti yangu na wazazi wake wamemkubali. Walikuja kwangu tuonane. Tulijadili kiasili na tulikubaliana atamsubiri hadi wakati ufike. Hawakuwa na uhusiano kwa sababu Aisha bado mdogo.”
.
Wawili hao walifikia makubaliano wakati mrembo Aisha akiwa bado shule, lakini familia zao zilikubaliana hadi hapo alifikia umri wa miaka 18, lakini Mane alikuwa akimhudumia mrembo wake.
Screenshot_20240113_075035_InstaPro%20.jpg
 
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inafunguliwa leo nchini Ivory Coast, huku wenyeji wakifungua pazia dhidi ya Guinea Bissau katika uwanja wa Alassane Ouattara mjini Abidjan.

Tovuti ya DW imeripoti kuwa Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe amesema ameridhishwa na hatua za maandalizi zilizofanywa, katika kuepusha maafa yaliyojitokeza nchini Cameroon.

Katika michuano ya AFCON ya mwaka 2022, watu wanane walifariki katika uwanja wa Olembe huko Yaounde, baada ya kutokea mkanyagano kabla ya mechi ya hatua ya 16 bora kati ya Cameroon na Comoro.

Imeelezwa kuwa Serikali ya Ivory Coast imewekeza takriban dola bilioni 1.5 kuboresha miundombinu katika maandalizi ya mashindano ya mwaka huu ambayo yanashirikisha timu 24 ikiwemo Taifa Stars ya Tanzania na itachezwa katika viwanja 6 tofauti kwenye miji mitano.
Screenshot_20240113_081356_InstaPro%20.jpg
 
Kila siku, wakimbizi zaidi ya 1300 wanaingia Sudan Kusini wakitokea katika nchi jirani ya Sudan, ambayo tangu mwezi Aprili mwaka uliopita, imekuwa katika mapigano baina ya jeshi la nchi hiyo na wanamgambo wa RSF.

Tovuti ya RFI imeripoti kuwa mmoja wa wakimbizi hao ni Ahmed Awadh (25), mwanafunzi wa udaktari katika Chuo Kikuu cha Khartoum, ambaye amekimbilia jimbo la Upper Nile, moja ya majimbo manne yanayowakaribisha raia wa Sudan.

“Napenda kuishi hapa Sudan Kusini. Kamwe sijisikii kama mkimbizi. Ninajisikia kuwa nyumbani. Familia yangu ingali Sudan kwa sababu ilikuwa vigumu kwa wao kuruhusiwa kupita katika uwanja wa kimataifa wa Juba," amesema Ahmed Awadh, mmoja wa wakimbizi.

Takwimu za hivi karibuni zilizotolewa na shirika la umoja wa mataifa linalohusika na maswala ya kibinadamu (OCHA), zinaonesha kuwa zaidi ya watu milioni 7.3 wameyakimbia makaazi yao tangu kuanza vita hivyo mwaka uliopita.

Screenshot_20240113_092045_InstaPro%20.jpg
 
Back
Top Bottom