Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimefurahi pia Obe...
Karibu.

Atoto makaveli10 Lee mlisema sijui mstaafu sijui kikohozi, nini na nini valentine itakuwa kama ya mwaka jana, kiko wapiiiiii. Ndugu zanguni kwa macho yenu mmeona nimeambiwa Karibu nami bila hiyana nimekaribia, nimevua na viatu kabisa na sivaagi soksi. Kiko Wapi nawauliza tena, Kiko Wapi
 
🤣🤣🤣🤣🤣 danganya toto hiyo.
 
Kaka we jichanganye ukiitiwa fursa usikimbilie, huenda ww ndio fursa yenyewe..
Tunasubiri ule za kichwa sisi tuko hapa hapa 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…