Makapuku Forum

🤣🤣🤣🤣 Binamu we ndio mbabu wanayemzungumzia
....duh, aisee. Ujue nini, sijalala nikaota jambo kama hili. Watu wabaya sana kumbe mimi ndiyo mbabu ninayeongelewa humu, nyie nyiee hebu amkeni.
Ngoja nikabadilishe miaka yangu ya kuzaliwa na nijisajiri upya niachane na umri wa Mrisho Ngassa.

Tresor Mandala nataka kukuuliza tu, je umeshiriki kwenye kwenye kunibadilishia umri au ni huyu mdau wa NIDA Atoto anajaribu kutafuta sababu za kunibabusha nitoswe msimu huu wa kilimo
 
😂😂😂 hivi kumbe kukudanganya rahisi hivyo!! Ndio maana mstaafu wala hana stress.
 
😂😂😂 hivi kumbe kukudanganya rahisi hivyo!! Ndio maana mstaafu wala hana stress.
...yaani sasa hivi nimekosa kabisa msimamo, ninadanganyika. Na furahiday haipaswi kuwa namna hii, inapaswa kuwa nyepesi, the easy one lakini unataka kunipa sababu za kutafuta safari lager baridi ninywe nilewe kesho
 
Wakati unalewa, mstaafu anakustaafisha.
 
Hahahaha..labda ukacheki RITA kwa uthibitisho zaidi
 
[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787] Akipataga penzi jipya sasa tunakoma vikimshinda sasa anarudi kwa mshangazi wake shunie na maneno mengiiiii

Auntie nani anamuweza huyoooo [emoji1787][emoji1787] hakunaaa zaidi yangu nipo hapaaaa
Kwakweli kwa huyu shindikana naona ni wewe tu ndio umebakia kutoa ushuhuda🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…