Obe
JF-Expert Member
- Dec 31, 2007
- 10,083
- 34,850
....duh, aisee. Ujue nini, sijalala nikaota jambo kama hili. Watu wabaya sana kumbe mimi ndiyo mbabu ninayeongelewa humu, nyie nyiee hebu amkeni.🤣🤣🤣🤣 Binamu we ndio mbabu wanayemzungumzia
Ngoja nikabadilishe miaka yangu ya kuzaliwa na nijisajiri upya niachane na umri wa Mrisho Ngassa.
Tresor Mandala nataka kukuuliza tu, je umeshiriki kwenye kwenye kunibadilishia umri au ni huyu mdau wa NIDA Atoto anajaribu kutafuta sababu za kunibabusha nitoswe msimu huu wa kilimo