Makapuku Forum

Makapuku Forum

Good 😊 morning Shunie Atoto Tresor Mandala Lee makaveli10 amkeni mnalala hadi sahii na mnadaiwa Kodi ya nyumba.
Oya mie maisha ya kupanga panga nishaachana nayo kitambo.
Nipo hapa kwenye kibanda changu cha urithi, nimelalia kitanda changu cha kamba hapa, marehemu babu alikijenga imara saana, sijui alitumia udongo gani, mvua inanyesha makuti hayavujishi na udongo upo fresh,
Na mwaka huu nataka niweke solar, kunogesha zaidi😂
Na nje kwenye mlango wangu wa bati nimeandika sitaki usumbufu. 😂🤣
 
Back
Top Bottom