Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kaburi ulimohifadhiwa mwili wa Rais mstaafu wa Tanzania, hayati Ali Hassan Mwinyi leo Jumamosi Machi 2, 2024 katika eneo la Mangapwani, Zanzibar.

Hayati Mwinyi alifariki dunia Alhamisi, Februari 29, 2024 katika Hospitali ya Mzena, Kijitonyama, Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya saratani ya mapafu.

Screenshot_20240302_191417_InstaPro%20.jpg
 
WANGU KIPENZI MZURI,
MFANO WA HARIRI,
WEWE KWANGU NI HABARI,
KIFANI CHAKO DINARI,
ZIPITE ENZI DAHARI,
UBAKI WANGU UTURI.
MOLA AKUJAZE KHERI,
AKUEPUSHE NA SHARI.
NAMI NIKUPENDE ASILANI, ABADANI USINIACHE GIZANI,
WANGU MOYO WAIMANI,
NA DUA NAKUOMBEA TULI.
 
Yangu roho inasonona ,
Kukosa naogopa ,
Moyo wadunda ,
Yako like ukinipa ,
Mungu akutunze wangu kipenzi.
Nisheke mkono uniongoze,
Penzi lako ntaliishi usiteseke,
Wangu wa ubani unipende,
Bila ajizi nami nikutunze,
Mungu akutunze wangu kipenzi.
Nii kifungoni minyororo yanitesa,
Mdomo wameuziba,
Nafsi yangu wameikatili sana,
Vyangu vidole vyatetemeka,
Mungu akutunze wangu kipenzi.
Zangu salamu nilikutumia,
Ila yako majibu sikupata,
Aunt Atoto kageuka Simba,
Yangu barua kairarua,
Mungu akutunze wangu kipenzi.
 
Yangu roho inasonona ,
Kukosa naogopa ,
Moyo wadunda ,
Yako like ukinipa ,
Mungu akutunze wangu kipenzi.
Nisheke mkono uniongoze,
Penzi lako ntaliishi usiteseke,
Wangu wa ubani unipende,
Bila ajizi nami nikutunze,
Mungu akutunze wangu kipenzi.
Nii kifungoni minyororo yanitesa,
Mdomo wameuziba,
Nafsi yangu wameikatili sana,
Vyangu vidole vyatetemeka,
Mungu akutunze wangu kipenzi.
Zangu salamu nilikutumia,
Ila yako majibu sikupata,
Aunt Atoto kageuka Simba,
Yangu barua kairarua,
Mungu akutunze wangu kipenzi.
😳😳😳😳😳😳😳
 
Ndoto zangu toka zamani ni kupata mtu kama wewe.
Japo upweke kwangu umekuwa kama ratiba ya kula.
Ila nikiona msg yko najua umzima wa afya.
Furaha yangu nikukuona unafanikiwa zaidi katika maisha.
Nikutakie ucku mwema ewe barafu ya Moyo maana umeniteka sana.
 
Back
Top Bottom