Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Niwatakie Ijumaa Njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahaha wape nafasi..magazeti asubuhiMnaturingishia na wapenzi wenu badala ya kutuletea story za magazetini.
Sasa jioni hii nimekaa nasubiri wajua najua. Naona watu wanabebishana wanataka tufe kwa wivu au.Hahahahahahaha wape nafasi..magazeti asubuhi
Hahahahahaha. Bana wee ..yaani watuonee huruma..waweke je wajua walau tujisomeeSasa jioni hii nimekaa nasubiri wajua najua. Naona watu wanabebishana wanataka tufe kwa wivu au.
Huku sio kupendana, ni kuwa confused [emoji1787][emoji1787]
Sasa jioni hii nimekaa nasubiri wajua najua. Naona watu wanabebishana wanataka tufe kwa wivu au.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mnaturingishia na wapenzi wenu badala ya kutuletea story za magazetini.
🤣🤣🤣🤣 na bado!!Sasa jioni hii nimekaa nasubiri wajua najua. Naona watu wanabebishana wanataka tufe kwa wivu au.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui kayatindiganya wapi huko!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kawamwagie maji machafu.
Kwendaaaa😏[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana auntie yangu mzuri mzuri nakupenda mimi ujue unanielewa sana
HahahahahaSomeni mahaba kwanza maana Shunie anatuwekea akijisikia. Asipojisikia ni kubebishana tu na hili jambazi lake.
Ni wivuu tuUko mpweke hata hivyo, kwahiyo hakuna ninachoharibu[emoji12]
We husiano gani halieleweki mara lizimike mara liwake, taabu tupu. Hata umeme wa tanesco angalau una ratiba.
Sauti haitoshiiNdio tunapendana hivyohivyo [emoji1787][emoji1787]
Babee wangu roho yanguu najua umechoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana auntie yangu mzuri mzuri nakupenda mimi ujue unanielewa sana