Makapuku Forum

Na kila mwanamke bila kujali hali yake, apate nguvu ya kufanikisha ndoto zake na kukamilisha matamanio yake (aspirations). JF ni kubwa na ni sehemu nzuri kuwepo sababu kuna wanawake ambao kila wakati wanaifanya forum hii kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Katika siku hii ya kimataifa ya wanaweka basi na kila mwanamke afanikiwe kuvunja vikwazo, kuvunja kudogoshwa katika harakati zake za kufanikiwa. Mafanikio hutofautiana (relativitty) lakini anapofanikiwa mwanamke basi jamii nzima inafanikiwa. Heri ya siku ya Wanawake Duniani

View: https://www.youtube.com/watch?v=mILsx_c-vXw
 
Asanteee shemeji 😍😍😍😍
 
Asante sana binamu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…